MTANGAZAJI

DR BARAKA MUGANDA AWA MKUU WA CHUO KIKUU

                                                  
Dr. Baraka Muganda amechaguliwa kuwa mkuu wa chuo msaidizi wa chuo kikuu cha Washington (Washington Adventist University) huko Marekani kinachomilikiwa na kanisa la Waadventista Wasabato.

Tovuti ya chuo hicho inaeleza kuwa Dr Baraka Muganda toka Tanzania anashika wadhifa huo baada ya kutumika katika nafasi ya Mkurugenzi wa idara ya vijana ya kanisa duniani toka mwaka 1995 na ameanza kutekeleza jukumu hilo jipya wiki hii.

1 comment

Anonymous said...

Chuo kikuu kinaitwaje/kipi? Mbona habari nusunusu "MTANGAZAJI"????

Mtazamo News . Powered by Blogger.