SEMINA ELEKEZI YAMALIZIKA HAPA NAIROBI
Mtangazaji akiwa na Afisa Uhusiano wa Chuo Kikuu cha Arusha Tresor Mulumba |
Baadhi ya viongozi,watayarishaji na watangazaji wapatao 55 wa vipindi toka katika vituo vya Redio vya FM vya kanisa la Waadventista Wasabato vilivyopo katika nchi kumi za Kanda ya Afrika Mashariki na Kati waliohudhuria mafunzo ya usimamizi na namna ya kuandaa vipindi vya redio iliyofanyika Nairobi,Kenya wakiwa katika picha ya pamoja . |
Kutoka kulia ni Farida Mika(Mhazini wa Tanzania Adventist Media Center),Ray Allen(Mkurugenzi wa Mafunzo wa Redio ya Waadventista Ulimwenguni na kiongozi wa AWR Afrika) John Smith(Mkufunzi wa AWR na Mtangazaji mstaafu wa BBC-Uingereza) na Mtangazaji |
Post a Comment