2 comments
- Yasinta Ngonyani said...
-
hii nimeipenda nami harusi yangu nitafanya hivyo..lol
- April 17, 2010 at 5:48 AM
-
-
yasinta usimkejeli kaka watu hata na yeye angependa harusi yake iwe ya kifahari hati na wewe harusi yako utaifanya hivyo ufunge harusi mara ngapi? au ulizaa na kuolewa na mzungu bila harusi? uspende kuwakebei watu hiyo harusi amefanya kadri ya uwezo wake nakikubwa amepata wake wanaeelewana siyo ajabupamoja umaskini wao wakaishi milele kwakupendana nanyie mliyoolewa na matajiri sio ajabu msidumu ktk ndoa na sio ajbu mkaishi maisha kutokuwelewana msipende kucheka watu hujafa hujaumbika
- May 20, 2010 at 8:48 PM
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
Post a Comment