Aliyekuwa Mtangazaji wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Jerry Muro pamoja na washitakiwa wenzake Deogratias Mgasa na Edmund Kapama waliokuwa wakikabiliwa na kesi ya kuomba rushwa ya shilingi milioni 10,leo wamefutiwa mashitaka hayo na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu,jijini Dar es salaam na kuwaachia huru.
Post a Comment