LOVELY GAMBLE YA KANUMBA NDANI YA BONGO
Salama kaka
Pole sana na Mihangaiko ya kila siku. Ningependa kuwataarifu wadau wote kuwa ile muvi inayosubiriwa kwa hamu sana itatua bongo ndani ya club Billicanaz tarehe 28th April 2010 na huku mji wa kusoma ni 29th May 2010
Pia naomba uwarushie hewani wadau hii documentary ikiwa na Intavyu ya waheshimiwa Emmanuel Nchimbi na Amosi Makala wakitoa maoni yao Kuhusu Lovely Gamble.
Pamoja na Trailer yake
Frank Eyembe
Urban Pulse Creative
Post a Comment