MTANGAZAJI

"BAHARI " YA MJI KASORO YAELEKEA KUTOWEKA

Mkurugenzi wa Moruwasa,John Mtaita(kushoto) na mwenyekiti wa CCM Moro Mjini Fikir Juma wakizungumzia jinsi uharibu wa mazingira unaofanywa na wakazi wanaoishi karibu na bwawa la Mindu ambao unaelezwa ndo chanzo cha kuelekea kutoweka kwa bwawa hilo

Waandishi wa habari mkoani Morogoro walipotembelea Bwawa la Mindu na kujionea hali halisi ilivyo katika bwawa hilo linalotegemewa katika upatikanaji wa maji katika manispaa ya Morogoro

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.