MTANGAZAJI

TANZANIA, NCHI YA AMANI...

Shule za Vijijini


Madarasa ya shule za vijijini

HAPA CHINI

Jengo la Ubarozi wa Tanzania huko Washington


Ofisi zetu za Bunge

Kuna cha kuongeza?

4 comments

Yasinta Ngonyani said...

Tanzania, Tanzania nakupenda kwa moyo wote.....

Anonymous said...

Kazi ipo!

Jr

Anonymous said...

Kazi ipo!

Jr

dastan raphael said...

wenye shibe hawezi kumuhudumia mwenye njaa. hakika watawala wetu hawajui shida za watanzania ndugu zao. hata hivyo watawala wetu walio wengi hawana historia yakutoka katika familia za kimasikini. hivi fikiria ni lini mtoto wa Jk aliwahi kupanda daladala au mtoto wa Makamba. kuna watoto wa wakubwa hufanya tour kwa kupanda daladala ilikujifunza masikini wanavyoishi. wengine husikia eti dar kuna joto lakini wao hawaja wahi kulihisi. nyumbani kiyoyozi, garini kiyoyozi na ofisini vile vile!! inashahgaza sana watu kama hawa kuwasikia wanasema kuwa wanawatumikia watanzania masikini na kwamba eti wanauchungu na nchi yao. labda kama neno NCHI YAO humaanisha nchi yao wenyewe na watu wa daraja lao na sio watanzania masikini

Mtazamo News . Powered by Blogger.