MTANGAZAJI

MAJANGA YA MOTO TANZANIA
Ajali ya moto huko Jaipur, India Oktoba 29,2009


Tahadhari dhidi ya majanga ya moto inatakiwa iwe sehemu ya feasibility study report kwa mradi wowote wa ujenzi wa majumba makubwa, viwanda, fuel depots, viwanja vya ndege, bandari n.k.


Inashangaza kuona ujenzi wa baadhi ya fuel depots za Dar es Salaam kule Kurasini hazikufuata space specifications kati ya tenki na tenki, tenki na administrative block n.k. Fuel depot zingine ziko chini ya TANESCO high tension wires na TANESCO wanajua pamoja na Manispaa ya Temeke iliotoa viwanja hivyo wanajua.


Inapaswa kuwe na tahadhari katika hili mapema iwezekanavyo


Mdau Peter Lwegasira

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.