4 comments
- Yasinta Ngonyani said...
-
Tanzania, Tanzania nakupenda kwa moyo wote.....
- November 6, 2009 at 7:54 AM
-
-
Kazi ipo!
Jr - November 7, 2009 at 1:25 AM
-
-
Kazi ipo!
Jr - November 7, 2009 at 1:25 AM
-
-
wenye shibe hawezi kumuhudumia mwenye njaa. hakika watawala wetu hawajui shida za watanzania ndugu zao. hata hivyo watawala wetu walio wengi hawana historia yakutoka katika familia za kimasikini. hivi fikiria ni lini mtoto wa Jk aliwahi kupanda daladala au mtoto wa Makamba. kuna watoto wa wakubwa hufanya tour kwa kupanda daladala ilikujifunza masikini wanavyoishi. wengine husikia eti dar kuna joto lakini wao hawaja wahi kulihisi. nyumbani kiyoyozi, garini kiyoyozi na ofisini vile vile!! inashahgaza sana watu kama hawa kuwasikia wanasema kuwa wanawatumikia watanzania masikini na kwamba eti wanauchungu na nchi yao. labda kama neno NCHI YAO humaanisha nchi yao wenyewe na watu wa daraja lao na sio watanzania masikini
- May 3, 2011 at 6:31 AM
Post a Comment