MTANGAZAJI

NDOO ZA PLASTIK ZINAPOKUWA MADAWATI

Afisa wa benki ya Kenya Commercial Bank kitengo cha Jamii tawi la Morogoro, Herrieth Gilbet kulia akimkabidhi sehemu ya madawati Afisa Elimu Ngazi ya Sekondari Manispaa ya Morogoro Jasper Bitwale wakati wa hafla ya kupokea msaada wa madawati yaliyotolewa na benki hiyo shuleni hapo katikati ni Mkuu wa Shule hiyo, Flora Masoy

Mwalimu Mkuu wa shule ya sekondari ya Mgulasi katika Manispaa ya Morogoro, Flora Masoy, kulia akimtembeza Afisa wa benki ya Kenya Commercial Bank kitengo cha Jamii tawi la Morogoro, Herrieth Gilbet na kujionea hali halisi ya jinsi wanafunzi wa kidato cha kwanza katika shule hiyo wanavyokalia ndoo za plastiki muda muda mfupi kabla ya benki ya KCB kutoa msaada wa madawati yenye thamani ya zaidi ya sh Milioni 5.

Wanafunzi wa kidato cha kwanza katika shule ya sekondari ya Mgulasi katika Manispaa ya Morogoro, wakimsikiliza kwa umakini mwalimu wa darasa hilo Lucy Ngowi (hayupo pichani) wakati wa somo la kuandika barua huku wakiwa wamekalia katika ndoo za plastiki muda mfupi kabla ya benki ya KCB kutoa msaada wa madawati yenye thamani ya za sh Milioni 5.(Picha na Juma Mtanda)

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.