MTANGAZAJI

PATA MAELEZO YA TEKNOHAMA BILA MALIPO

Mdau mmoja aliyeko Uingereza ameanzisha blog ambayo nimeipenda sana kwa kuwa inaeleza vitu vya msingi hasa katika masuala ya teknolojia ya habari na mawasiliano blog hii ni
http://www.ict-tz.blogspot.com/

Ict-tz ni blog inayohusu habari,teknolojia na mawasiliano. Hapa tunapeana taarifa, Lengo letu kubwa kama Bloggers ni kukuza kijiji chetu cha wana-ICT.Ict-tz haisimamiwi na wataalamu wa uandishi, hapa na pale kutakuwa na makosa machache yaliyo nje ya uwezo wetu, hivyo basi utakapo "spot" makosa usisite kutushtua.
Sometimes tutakuwa tukikusanya habari kutoka kwa "Third parties" na kuzi "post" hapa, bila kuedit wala kubadili maudhui kwa idhini maalumu ya wamiliki wa makala na habari hizo.Kama una makala au mchango wowote unataka kuufikisha kwa wasomaji wa blog hii tutumie barua pepe kwa anuani hii
Mdau

1 comment

Anonymous said...

Asante kwa utambulisho ndugu.

Tuko pamoja.

Mtazamo News . Powered by Blogger.