MTANGAZAJI

BONGO VIPAJI TUNAVYO TATIZO MIUNDOMBINU


Mshambuliaji wa timu ya soka ya Kilombero (U17), Saimon Vegula kushoto akimiliki mpira dhidi ya Ibrahim Salum wa Manispaa (U17) katika michuano ya coca cola ngazi ya wilaya yenye lengo la kutafuta wachezaji wataunda timu ya mkoa wa Morogoro ili kushiriki coca cola taifa katika uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro

Mshambuliaji wa timu ya soka ya Manispaa (U17) Joel Machaku, kushoto akichuana na mchezaji wa timu ya Kilombero (U17) Charles John, wakati wakigombea mpira katika mechi hiyo


Kiungo wa timu ya soka ya Manispaa (U17) Alli Mnasi, kushoto akichuana na mshambuliaji wa timu ya Kilombero (U17) Saimon Vegula.Kilombero ilishinda kwa bao 2-1.

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.