MTANGAZAJI

MOROGORO YAENDELEA KUPENDEZA


Katikati ya mji wa Morogoro,Tanzania wadau mliokuwa hapa miaka iliyopita mnayakumbuka maeneo haya???Hizi picha ni za leo asubuhi

2 comments

LATENS said...

Duuh!! Ebwana eeeh!! Sekulu umenikumbusha mbali hizo picha,kweli now kunapendeza na pasafi,waendelee kupatunza.Nyumbani ni nyumbani,hata nikiwa mbali

LATENS said...

Poa mwana nakupata sana,nawapa hai masela wote wa pande hizo hasa wale nilioskuli nao Kiwanja cha ndege primary zen Morosec. Mi nipo nachakarika kibishi

Mtazamo News . Powered by Blogger.