MTANGAZAJI

HILI JENGO LA POSTA MOROGORO VIPI????

Huu ni ujenzi wa upanuzi wa jengo la ofisi za posta Morogoro ambao umesimama karibu miaka minne sasa haijajuliakana sababu ni nini hasa blog hii inatafiti ni nini kinachosababisha jengo hili lisikamilike mpaka sasa!!! Sijui ndo mambo yetu!!!!???? Ama watu fulani wameshanufaisha familia zao binafsi???

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.