AlBINO MOROGORO WAPATIWA MSAADA
Albino hawa waliieleza blog hii kuwa wanakabiliwa na matatizo mbalimbali ikiwemo ukosefu wa elimu,miwani ya macho,nguo,viatu,mafuta maalum kwa ajili ya kujipaka n.k Swali ni kwamba je sisi kama watanzania hatuwezi kuwasaidia hawa ndugu zetu mpaka tusubiri watu kutoka nje???? kuna zaidi ya Albino 100 mkoani Morogoro,kwa maelezo na picha zaidi za tukio hili tembelea www.childrensinafrica.blogspot.com
Post a Comment