2 comments
- LATENS said...
-
Duuh!! Ebwana eeeh!! Sekulu umenikumbusha mbali hizo picha,kweli now kunapendeza na pasafi,waendelee kupatunza.Nyumbani ni nyumbani,hata nikiwa mbali
- March 20, 2009 at 7:21 AM
- LATENS said...
-
Poa mwana nakupata sana,nawapa hai masela wote wa pande hizo hasa wale nilioskuli nao Kiwanja cha ndege primary zen Morosec. Mi nipo nachakarika kibishi
- March 20, 2009 at 7:32 AM
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
Post a Comment