MTANGAZAJI

KIMANGA SDA CHOIR-DSM



Mojawapo ya kwaya za Kiadvetista zinazofanya vyema katika uimbaji wa nyimbo za injili ni kwaya ya Kimanga SDA ya jijini,Dar es salaam

Picha ya kwanza kutoka kushoto msatari wa mbele ni Tumaini Katega,Joyce Charles,Yona Twazihirwa,Mama Mvara,Mwalimu Mwsiposya,Mwlimu Jason Masija,na Baraka Katega.

Mstari wa pili kutoka kushoto ni Mama Busumbiro,Dorka Mohamed,Grce Julius(mama Jordan),Happy Reuben,Lizbeth Mathew,MWNYEKITI WA KWAYA Mama Ngaeje,Mma Osodo,Fred ezekiel(BABU) Emilia Abel,na Mama Mwasiposya.

Mstari wa nyuma Mwalimu Joel Wang'ubha,Mama Wang'ubha,John Silas,Adelin Elidaima,Janeth Kisaka,John Reuben,Happy Masija,Mkongwe Haruni Kajanja,na Peter Shabani Mchome.

Picha ya pili ; wa tano toka kushoto ni mdau Julius Jasto(baba Jordan)
Picha ya tatu ;Toka kushoto DR.Lukas Masija,wilfred joseph,MR&MRS Julius Mmbaga wakuu msafara.
"Tabasamu unaloliona kwa baadhi ya wanakwaya lilikoma muda mfupi baadaye na kugeuka majonzi tulipopokea taarifa ya kifo cha mwanakwaya mwezetu Mzee Gideon Ali Mjema(KATIBU WA KWAYA) aliyefariki tarehe 5/04/2008 saa 11.10 jioni waakati sisi tukiendelea kutumika kule MBEZI LUIS siku ya uimbaji ambako tulialikwa na wanakwaya wenzetu Tulimpenda sana kwani kwa hakika alikuwa kipenzi cha kila mtu ndani na nje ya kwaya .Mjane yaani mama Mjema ni mwanakwaya mwezetu akitumika katika sauti ya pili"Anaeleza Baba Jordan mmoja wa waimbaji katika kwaya hii ambayo inazaidi ya albamu 9 mpaka hivi sasa.

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.