BABA JORDAN AKIWAJIBIKA
Mmoja wa wasikilizaji wangu na mdau wa blog hii Baba Jordan akiwajibika kazini,pamoja na majukumu makubwa aliyonayo lakini bado anatumia taranta yake ya uimbaji kwa kuimba katika Kwaya ya Kimanga na pia kundi mahili la Silent Sowers.Ila usiniulize anafanya kazi gani na wapi? Ila ni hapahapa jijini Dar es salaam katika kuhakikisha kuwa anasukuma gurudumu la maendeleo ya nchi yetu.
Post a Comment