MTANGAZAJI

UNAKUMBUKA WAPI HAPA???


Msikilizaji wangu mmoja kanitumia picha hii nami nawasilisha kwen:
Rafiki yako tena nimeona ni vyema nikukumbushe kutano kubwa lililofanyika kule Arusha University mwaka 2003 katika sherehe za kuadhimisha miaka100 ya injili ya Kiadventista hapa Tanzania ambazo kwa hakika zilifana sana mimi binafsi nilikuwepo live pamoja na wanakwaya wenzagu wa Kimanga .huwezi ukazungumzia sherehe hizo bila kutaja milima ya upare ikiwemo thuji kwani ndiyo maeneo ya awali kabisa kufikiwa na wamisionari wa kijerumani uwaonao hapo ni kutoka kushoto ni mch G. Mbwana Askofu mkuu wa kanisa la wasabato Afrika Mashariki na kati,mch Bina ambaye ni katibu wake mkuu wakiushikilia mwenge kama ishara ya kuedeleza kazi ya injili hapa Tanzania iliyoanzishwa zaidi ya miaka 100 iliyopita Wengine nisaidie wewe.NI YULE YULE MDAU WAKO Baba Jordan (Julius Jasto).

2 comments

Anonymous said...

baba maduhu,
how are you. I am glad your keeping us alive about happening in tanzania adventist movement. keep it up and be blessed. mike

Anonymous said...

Mtangazaji mambo vipi? Naona uko busy na kutangaza unasahau ku update blog yako. Try and put in new stuff my friend mara kwa mara. Thanks for the pix and updates anyway. God bless

Mtazamo News . Powered by Blogger.