MTANGAZAJI

THUJICHURCHBELL

Msikilizaji wangu kaniletea tena mengi kuhusu THUJI
"Kuthibitisha kuwa kanisa hilo ni la enzi ya mjerumani(mdachi) hebu cheki kengele style ya wajerumani kabisa baba yangu ana miaka 81 sasa na aliikuta hiyo kengele na mpaka leo inatumika ipasavyo kuwajulisha watu kuwa aidha sabato inaingia,ibada ya jumatano, siku ya sabato asubuhi sherehe za harusi hata siku za msiba nk. ni makanisa machache sana ya wasabato hapa nchini yanatumia utaratibu huu wa kengele uwongo kweli bawna mdogo!! Basi ikigongwa kijiji kizima wanasikia na hata watu wachache wa imani zingine wanaiheshimu sana na wanatambua aina ya wito
Thanks Baba Jordan(Julius Jasto)"

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.