NIPOOOOOOOOOOOOOOOOOOO!!!!
Habari wasikilizaji wangu poleni sana kwa ukimya wangu,kuna msikilizaji mmoja aliniuliza na kuniambia vipi nimekuwa kimya,kama mnavyofahamu niliwafahamisha kuwa niko hapa jijini Dar es salaam nikiwa nasoma kwenye chuo cha biashara na technolojia si uanjua tena rafiki yangu teke linalokujia inabadika kila sekunde,hata hivyo bado naendelea kubarikiwa kuwa hapa kwa kuwa natumika katika redio ya Morning Star 105.3 fm iliyoko Mikocheni B.
SWALI NI KWAMBA HAO HAPO JUU PICHANI NI AKINA NANI NA WAKO WAPI?
Post a Comment