MTANGAZAJI

MORNING STAR 105.3 FM


Meneja wa Morning Star fm Miller Zachalia James akitangaza kipindi cha Vijana na Wakati siku ya Ijumaa ya Januari 25,2008,Redio hii inawabariki sana wasikilizaji walioko
Pwani,Dar es salaam,Tanga,Morogoro na Zanzibar na maeneo machache huko Dodoma na Iringa wewe unatoa nini katika kusaidia radio hii pekee ya kanisa la Waadventista Wasabato Tanzania?

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.