TUWALINDE WATOTO WETU ILI WAJE KULISAIDIA TAIFA"- WAZIRI JENISTA (+VIDEO)
Juni 12 ya kila mwaka ni inaadhimishwa Siku ya Kupiga Vita dhidi ya utumikishwaji wa Watoto.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais- Bunge, Sera, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu Mhe. Jenista Mhagama amesema katika kuadhimisha siku hii, Serikali imedhamiria kuendelea kuielimisha jamii juu ya athari ambazo zinawapata watoto wanapotumikishwa kufanya kazi tofauti na umri wao.
Post a Comment