NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NDANI AFUNGUA RASMI WA MKUTANO WA UZOEFU WA NGUVU YA MUNGU JIJINI DODOMA (+VIDEO)
Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchini Tanzania Mhandisi Hamad Masauni amefungua rasmi Mkutano wa Uzoefu wa Nguvu ya MUNGU unaofanyika Dodoma Tanzania
Ufunguzi huo pia uliwahusisha viongozi wa Kanisa la Waadventista wa Sabato na waumini wa Kanisa hilo toka mikoa mbalimbali nchini walioko Dodoma.
Post a Comment