MTANGAZAJI

UFUNGUZI WA MKUTANO WA NGUVU YA MUNGU WAFANYIKA DODOMA TANZANIA (+VIDEO)

Ufunguzi wa Mkutano uliopewa jina la Nguvu ya MUNGU ambao utaendeshwa toka jijini Dodoma,Tanzania kuanzia Mei 4-25 mwaka huu umefunguliwa leo kwa uimbaji wa kwaya sita.

Dkt Baraka Muganda toka Chuo Kikuu cha Washington DC ndiye atakuwa mhutubu mkuu kwa Mkutano huo ambao utakuwa ukirushwa mbashara toka Katika Viwanja vya Kanisa la Waadventista wa Sabato Dodoma Kati kupitia Hope Channel Tanzania,Morning Star Radio,Rock FM,Dodoma FM na Star TV.

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.