NUKUU ZA MCHUNGAJI CALEB MIGOMBO TOKA MAREKANI KWA MKUTANO WA NYUMBANI HATIMAYE 2019
Mchungaji Caleb Migombo toka North Carolina nchini Marekani ni mmoja wa wachungaji wanaotoa hotuba za Kaya na Familia kwenye mkutano wa Nyumbani Hatimaye 2019 ambao unarushwa na Hope Channel Tanzania na Morning Star Radio toka Kinyerezi jijini Dar es salaam Tanzania ulioanza Februari 2,mwaka huu.
Hizi hapa ni miongoni mwa nukuu zake makini kuhusu familia.
Post a Comment