ALIYEWAHI KUTUMIA DAWA ZA KULEVYA ATOA USHAURI WA KUJIEPUSHA NA MATUMIZI YA DAWA HIZO
Almasi Almasi ni kijana mtanzania ambaye aliwahi kutumia dawa za kulevya na akaacha ameamua kutumia muda wake katika kutoa elimu ya tatizo la matumzi ya dawa kwa kulevya, anatoa ushauri kwa jamii katika mahojiano haya.
Post a Comment