MTANGAZAJI

DKT PATRIC KENGURU TOKA MUHIMBILI AZUNGUMZIA FAIDA NA HASARA ZA KUBADILISHA MAUMBILE

Kumekuwa na tabia ya miongoni mwa watu ambao wamekuwa na tabia ya kubadili maumbile yao.

Jambo hili lina faida hasi na chanya zipi kwa afya ya binadamu.
Patric Kenguru ni Daktari toka hospitali ya Rufaa ya Taifa Muhimbili ambaye anazungumzia jambo hili kwa undani katika mahojiano haya.

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.