MTANGAZAJI

VIONGOZI WA KANISA LA WAADVENTISTA WA SABATO TANZANIA WATETA NA WAADVENTISTA WALIOKO WASHINGTON DC



Dkt Mchungaji Godwin Lekundayo akizungumza na Watanzania Waadventista waishio Washington DC
Picha ya pamoja
Kiongozi wa Kanisa la Waadventista Wa Sabato Jimbo Kuu la Kaskazini mwa Tanzania Dkt Godwin Lekundayo na Mwenzake wa Jimbo Kuu la Kusini Mchungaji Mark Malekana walifanya mazungumo na Watanzania Waadventista wanaoiishi Washington DC nchini Marekani.

Viongozi hao wako nchini Marekani ambako wanahudhuria Kikao cha Mwaka cha   Kamati Kuu ya Kanisa la Waadventista Wa Sabato Ulimwenguni.

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.