MTANGAZAJI

TAZAMA VIDEO NA PICHA ZA NDOA YA MWIMBAJI WA AMBASSADORS OF CHRIST ILIVYOFUNGWA JANA HUKO KIGALI,RWANDA




Nelson Manzi akisindikizwa na Dada yake Sara Uwera ambaye ni mwimbaji wa Sauti ya Kwanza wa Ambassadors of Christ
Hivi ndivyo Mwimbaji wa Ambassadors of Christ Nelson Manzi alipomtwaa Dada Eunice kuwa mkewe hiyo jana Oktoba 15 mjini Kigali nchini Rwanda.

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.