MTANGAZAJI

MUSOMA:TAZAMA VIDEO YA KWAYA YA NYEGEZI WALIVYOIMBA MBASHARA JANA MUSOMA,TANZANIA.

Makambi ya Musoma Mjini ya Kanisa la Waadventista Wa Sabato yamehitimishwa jana jioni ambapo inaelezwa zaidi ya watu 10,000 watu wazima na watoto 5,000 walikuwa wakihudhuria mkutano huo wa vibanda kwa mujibu wa taratibu za Kanisa la Waadventista Wa Sabato Duniani.

Kwenye mkutano huo Kwaya ya Nyegezi toka Mwanza na Gospel Flames toka jijini Dar es salaam ndio zilikuwa kwaya rasmi miongoni mwa kwaya 25 zilizotoka katika mitaa mitano ambayo ni Kamunyonge,Nyakato,Makoko,Mukendo na Kigera ya mjini Musoma.
Angalia sehemu ya wimbo wa Utukuzwe ulioimbwa na Kwaya ya Nyegezi

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.