MTANGAZAJI

VIDEO:SONDA YA DIHLU KATIKA WIMBO SIKU YA KWANZA MBINGUNI


Siku ya Kwanza Mbinguni ni miongoni mwa nyimbo za Sonda ya Dihlu ambazo waliimba kwenye Tamasha lao lililofanyika Mei Mosi mwaka huu.

Wimbo huo unaubunifu wa maneno aliyoyatumia mtunzi katika kuhakikisha ujumbe wake unafika vizuri.

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.