PICHA:MAKAMU WA RAIS AONGOZA MAELFU YA WATANZANIA KUAGA MIILI YA WANAFUNZI,WALIMU NA DREVA HUKO ARUSHA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa kuaga Miili ya Wanafunzi,Walimu na dreva waliopoteza maisha kwa ajali ya gari (Picha kwa Hisani ya Sheila Simba) |
Baadhi ya picha za tukio la kuaga miili ya wanafunzi 32 ,walimu wawili na dreva mmoja wa Shule ya Kiingereza ya Lucky Vicent ya jijini Arusha waliopoteza maisha kutokana na ajali ya gari iliyotokea Mei 6,mwaka huu
Uagaji wa miili hiyo lililfanyika leo kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid ambalo lilihudhuriwa na maelfu ya wakazi wa Arusha pamoja na Viongozi wa Serikali wakiongozwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Hassan Suluhu.
Post a Comment