BAADHI YA PICHA KATIKA TAMASHA LA WAIMBAJI WA KWAYA YA HALLELUYA YA RWANDA
Habari ya Adam na Eva katika bustani ya Edeni wa kamuasi Mungu na huku wa kajifanyia mavazi ya majani ni wimbo Ulioimbwa na wa Golden Gate tokea Kampala wakiimba kwenye tamasha ya Halleluya pale Gisenyi
Ambassadors of Christ toka Kigali nao walikuwepo
New Jerusalem tokea Himbi wakiimba |
Vijana machachari wa Acappela Il Est Ecrit toka virunga walikuwepo |
Jonathan mtafsiri wa wimbo Mosantu wa Ambassadors of Christ toka kinyarwanda kwenda Lingala lugha ya DRC akipongezwa na kupewa zawadi na mmoja wa viongozi wa Ambassadors of Christ. |
Post a Comment