DAR ES SALAAM:UBALOZI WA MAREKANI WATOA MAFUNZO KWA BLOGGER
![]() |
Blogger wakiwa na wawezeshaji (picha zote kwa Hisani ya Ubalozi wa Marekani) |









Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania kupitia kitengo chake cha Mawasiliano ya Umma leo Machi 21,2017 umetoa mafunzo kwa baadhi ya waandishi na wamiliki wa Blog nchini Tanzania kupitia Mtandao wa Blogger nchini Tanzania (TBN)ikiwa ni katika kuwajengea uwezo wa kuandika habari zenye weledi kwenye mitandao ya kijamii.
Mafunzo hayo yaliyohusu Uandishi wa Habari kwa kutumia teknolojia mpya yamefanyika ulipo Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania yaliendeshwa na Mwandishi wa Habari,Mpiga picha na Blogger raia wa Marekani Ricci Shryock anayeishi na kufanyakazi zake kwa sasa mjini Dakar Senegal.
Post a Comment