DAR ES SALAAM:SONDA YA DIHLU KUZINDUA TOLEO LAO LA SANTURI MWONEKAO MEI MOSI,2017
Kundi la Uimbaji wa Nyimbo za Injili wa Acappella toka Ukonga jijini Dar es salaam,Tanzana linatarajia kufanya uzinduzi wa toleo la Santuri Mwonekano Mei Mosi mwaka huu wa 2017,jijini Dar es salaam.
Tukio hilo la aina yake ambalo linasubiriwa kwa hamu kubwa na wapenzi wa nyimbo za Acappella litafanyika huku kundi hilo likiwa linamkosa mwimbaji wao na mwasisi mwanzilishi Msafiri Tunzo ambaye mwanae wa kiume na mdogo wake Emanueli Tunzo wakiendelea kudumu katika kundi hilo.

Post a Comment