KAGERA:TAMKO LA RAIS WA TANZANIA KWA WAATHRIKA WA TETEMEKO LA ARDHI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli amesema kuwa serikali ya nchi hiyo haitajenga nyumba ama kutoa chakula kwa waathirika wa Tetemeko la Ardhi lililotokea Septemba 2016.
Kauli hiyo pia ilishawahi tolewa na Mkuu wa Mkoa wa Kagera mwaka jana wakati akipokea misaada kwa waathrika wa tetemeko hilo toka kwa Kanisa la Waadventista Wa Sabato Tanzania
Post a Comment