SIMIYU:RAIS WA TANZANIA DKT JOHN POMBE MAGUFULI AFUNGUA RASMI BARABARA YA BARIADI- LAMADI
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiweka jiwe la
ufunguzi wa barabara ya Bariadi-Lamadi yenye kilometa 71.8 wengine katika picha
ni Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Antony Mtaka,
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na Muungano Luhaga Mpina, Waziri
wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa, Mwenyekiti wa CCM
Simiyu Titus Kamani na Mbunge wa Bariadi Andrew Chenge.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe na Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Antony Mtaka pamoja na Waziri wa Ujenzi Profesa Makame Mbarawa kuashiria ufunguzi wa barabara ya Barabara ya Bariadi-Lamadi yenye kilometa 71.8.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia
wananchi wa Bariadi kabla ya kufungua rasmi barabara ya Bariadi-Lamadi, katika
mkoa wa Simiyu. PICHA NA IKULU
Post a Comment