Baadhi ya Picha za Waimbaji wa Family Singers toka Buguruni jijini Dar es salaam wakiwa wanarekodiwa video yao mpya ambayo inatarajiwa kutoka mapema mwaka huu.Video hiyo inarekodiwa na Kampuni mpya M-Production Kundi hilo lina matoleo matatu ya audio na toleo moja la Santuri Mwonekano.
Post a Comment