Waziri wa Nishati na Madini wa
Tanzania Prof. Sospeter M. Muhongo (Kulia) na Waziri wa Nishati na
Maendeleo ya Madini wa Uganda Bi. Irene Muloni (kushoto) wakisaini
makubaliano mbele ya waandishi wa Habari kuhusu Maendeleo ya Mradi wa
Bomba la Mafuta Ghafi kutoka Hoima Uganda hadi Bandari ya Tanga
Tanzania.
Mkutano huo ulifanyika jana katika Hotel ya Tanga Beach Mkoani
Tanga na kuhudhuria na Kampuni za Total (France), Tallow(UK),
CNOOC(China) na Kampuni za Mafuta zinazomilikiwa na Serikali za Tanzania
(TPDC) na Uganda(UOC
Post a Comment