ARUSHA:MATIBABU YA BURE
SQF ya nchini Tanzania kwa kushirikiana na Rotaplast America wana furahi kuwatangazia kuwa kuanzia June 7-15 kutakuwa na hudumu ya bure Kwa watoto wenye midomo ya sungura na wenye makovu ya kuungua moto katika hospitali ya mkoa wa Arusha (Mt. Meru).
Watoto kutoka popote nchini watahudumiwa bure na pia watasafirishwa na kupewa malazi bure.
Tafadhali toa taarifa kama unamfahamu mtoto mwenye tatizo la aina hii
Post a Comment