PICHA:RAIS KIKWETE ALIPOKABIDHI MAGARI 339 MAPYA KATI YA 777 YALIYOAGIZWA
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Inspekta Jenerali wa Polisi IGP
Ernest Mangu alipowasili Chuo Kikuu cha Mafunzo ya Polisi Kurasini
jijini Dar es salaam leo Oktoba 20, 2015 tayari kukabidhi magari 399
kati ya 777 yanayoletwa kwa ajili ya kusaidia utendaji kazi wa jeshi la
polisi.
Wimbo
wa Taifa katika sherehe za kukabidhi magari 399 kati ya 777 yanayoletwa
kwa ajili ya kusaidia utendaji kazi wa jeshi la polisi.

Sehemu ya magari hayo
Inspekta
Jenerali wa Polisi IGP Ernest Mangu akisoma risala kwa Rais Kikwete
katika Chuo Kikuu cha Mafunzo ya Polisi Kurasini jijini Dar es salaam
leo Oktoba 20, 2015 katika sherehe ya kukabidhi magari 399 kati ya 777
yanayoletwa kwa ajili ya kusaidia utendaji kazi wa jeshi la polisi.
Sehemu ya maafisa waandamizi wa Polisi katika sherehe ya kukabidhi
magari 399 kati ya 777 yanayoletwa kwa ajili ya kusaidia utendaji kazi
wa jeshi la polisi
Maafisa wa Polisi katika sherehe ya kukabidhi magari 399 kati ya 777
yanayoletwa kwa ajili ya kusaidia utendaji kazi wa jeshi la polisi
Maafisa
wa Polisi katika sherehe ya kukabidhi magari 399 kati ya 777
yanayoletwa kwa ajili ya kusaidia utendaji kazi wa jeshi la polisi
Waziri
wa Mambo ya Ndani Mhe. Mathias Chikawe akimkaribisha Rais Kikwete
kuhutubia katika Chuo Kikuu cha Mafunzo ya Polisi Kurasini jijini Dar
es salaam leo Oktoba 20, 2015 katika sherehe ya kukabidhi magari 399
kati ya 777 yanayoletwa kwa ajili ya kusaidia utendaji kazi wa jeshi la
polisi.
Rais
Kikwete akihutubia katika Chuo Kikuu cha Mafunzo ya Polisi Kurasini
jijini Dar es salaam leo Oktoba 20, 2015 katika sherehe ya kukabidhi
magari 399 kati ya 777 yanayoletwa kwa ajili ya kusaidia utendaji kazi
wa jeshi la polisi.
Rais
Kikwete akiendelea kuhutubia katika Chuo Kikuu cha Mafunzo ya Polisi
Kurasini jijini Dar es salaam leo Oktoba 20, 2015 katika sherehe ya
kukabidhi magari 399 kati ya 777 yanayoletwa kwa ajili ya kusaidia
utendaji kazi wa jeshi la polisi.
Rais
Kikwete akikata utepe katika Chuo Kikuu cha Mafunzo ya Polisi Kurasini
jijini Dar es salaam leo Oktoba 20, 2015 katika sherehe ya kukabidhi
magari 399 kati ya 777 yanayoletwa kwa ajili ya kusaidia utendaji kazi
wa jeshi la polisi.
Rais
Kikwete akimkabidhi IGP Mangu funguo za magari hayo katika Chuo Kikuu
cha Mafunzo ya Polisi Kurasini jijini Dar es salaam leo Oktoba 20, 2015
katika sherehe ya kukabidhi magari 399 kati ya 777 yanayoletwa kwa
ajili ya kusaidia utendaji kazi wa jeshi la polisi.
Rais
Kikwete akishukuriwa na IGP Mangu baada ya kukabidhi magari 399 kati
ya 777 yanayoletwa kwa ajili ya kusaidia utendaji kazi wa jeshi la
polisi.
Rais Kikwete akikagua sehemu ya magari 399 kati ya 777 yanayoletwa kwa ajili ya kusaidia utendaji kazi wa jeshi la polisi.

Kikwete akikagua sehemu ya magari 399 kati ya magari 777 yanayoletwa
kwa ajili ya kusaidia utendaji kazi wa jeshi la polisi.
Rais
Kikwete katika picha ya pamoja na maafisa na wakufunzi baada ya
kukabidhi sehemu ya magari 777 yanayoletwa kwa ajili ya kusaidia
utendaji kazi wa jeshi la polisi.
Rais
Kikwete katika picha ya pamoja na wakufunzi baada ya kukabidhi sehemu
ya magari 777 yanayoletwa kwa ajili ya kusaidia utendaji kazi wa jeshi
la polisi.
Rais Kikwete katika picha ya pamoja na baadhi ya madereva na wakufunzi
baada ya kukabidhi sehemu ya magari 777 yanayoletwa kwa ajili ya
kusaidia utendaji kazi wa jeshi la polisi.
Rais Kikwete katika picha ya pamoja na viongozi baada ya kukabidhi
sehemu ya magari 777 yanayoletwa kwa ajili ya kusaidia utendaji kazi wa
jeshi la polisi.
Picha ya kumbukumbu na makandarasi walioleta magari hayo
Naibu IGP akitoa salamu za shukurani kwa Rais Kikwete
Rais Kikwete akiongea na IGP Mstaafu Dkt. Saidi Mwema baada ya sherehe hiyo
Sehemu ya magari 399 kati ya 777 yaliyoagizwa.
PICHA NA IKULU
Post a Comment