NAIROBI:MAJINA YA VIONGOZI WA UNION MISSION ZILIZOPO KATIKA DIVISHENI YA AFRIKA MASHARIKI NA KATI WAADVENTISTA WA SABATO YAKO HAPA
Hawa ndio Viongozi wa Kanisa la Waadventista Wa Sabato katika Divisheni ya Afrika Mashariki na Kati waliochaguliwa mwezi julai mwaka huu kwenye mkutano mkuu wa Kanisa hilo uliofanyika Marekani kuongoza eneo hilo katika kipindi cha mwaka 2015 -2020
Mwenyekiti: Dr Blasious Ruguri
Katibu Mkuu: Mch Alain Coralie
Mhazini: Jerome Habimana
Maofisa wasaidizi na Viongozi wa Unioni Mbalimbali zilizopo katika Divisheni hiyo katika kanisa la Waadventista Wa Sabato waliochaguliwa kwenye mkutano mkuu uliofanyika Nairobi nchini Kenya hivi karibuni
Wasaidizi wa Maofisa Watatu wa ECD
Katibu Msaidizi:Dr. Tom Arunga Ogal
Mhazini Msaidizi: Michael Caballero
Mhazini Msaidizi: Yohannes Olana
WAKURUGENZI WA IDARA
1 Mawasiliano -Prince Bahati
2 Elimu -Dr.Andrew Mutero
3 Afya- Fesaha Tsegaye
4 Huduma za Kichungaji -Mch Mitekaro
5 Uchapishaji-Mch. J. Bizirema
6 Shule Sabato-Mch. Noah Musema
7 Uwakili - William Bagambe
8 Wanawake na Watoto- Debbie Maloba
9 Vijana Mch Magulilo Mwakalonge
10 Uinjilisti -Mch Joel Okindo
Viongozi wa Unioni Mbalimbali zilizopo katika Divisheni ya Afrika Mashariki na Kati katika kanisa la Waadventista Wa Sabato waliochaguliwa kwenye kikao kilichofanyika Nairobi nchini Kenya hivi karibuni
UNION MISSION YA BURUNDI:
Mwenyekiti Mch.Joseph Ndikubwayo
Katibu Mch. Paul Erakose
Mhazini Philip Javaid
UNION MISSION YA CONGO MASHARIKI:
Mwenyekiti Mch. Muhune
Katibu Mch. Tekwa
Mhazini Elder Jean
UNION MISSION YA ETHIOPIA.
Mwenyekiti Mch. T. Bulti
Katibu Mch Lukas A
Mhazini A. Alemu
UNION MISSION YA KASKAZINI MASHARIKI MWA CONGO
Mwenyekiti Dr. Mwangachuchu
Katibu Mch. S. Ndangamyambi
Mhazini Elder E. Kerosi
UNION MISSION YA RWANDA
Mwenyekiti Mch. Hezron Byilingiro
Katibu Mch. Issachar Ntakirutimana
Mhazini Joseph Sebahire
UNION MISSION YA KUSINI MWA TANZANIA
Mwenyekiti Mch. Mark Malekana
Katibu Mch. Robson Nkoko
Mhazini Jack Manongi
UNION MISSION YA UGANDA
Mwenyekiti Mch. Daniel Matte
Katibu Mch. Israel Kafeero
Mhazini Frank Kiggundu
UNION MISSION YA MAGHARIBI MWA CONGO
Mwenyekiti Mch. Ambrose Fumakwa
Katibu Mch. C.B. Mukinay
Mhazini S.K. Landu
Viongozi wa Union Mission za Mashariki na Magharibi mwa Kenya bado hawapo katika orodha hiyo blog hii itakupatia taarifa hiyo.
Sikiliza taarifa ya Mkurungezi wa Mawasiliano wa Union ya Kusini mwa Tanzania Mch Stephen Letta toka Nairobi
Post a Comment