MTANGAZAJI

NAIROBI:MAJINA YA VIONGOZI WA UNION MISSION ZILIZOPO KATIKA DIVISHENI YA AFRIKA MASHARIKI NA KATI WAADVENTISTA WA SABATO YAKO HAPA
Hawa ndio Viongozi wa Kanisa la Waadventista Wa Sabato katika Divisheni ya Afrika Mashariki na Kati   waliochaguliwa mwezi julai mwaka huu kwenye mkutano mkuu wa Kanisa hilo uliofanyika Marekani kuongoza eneo hilo katika kipindi cha mwaka 2015 -2020

Mwenyekiti: Dr Blasious Ruguri
Katibu Mkuu: Mch Alain Coralie
Mhazini: Jerome Habimana


Maofisa wasaidizi na  Viongozi wa Unioni Mbalimbali zilizopo katika Divisheni hiyo katika kanisa la Waadventista Wa Sabato waliochaguliwa kwenye mkutano mkuu uliofanyika Nairobi nchini Kenya hivi karibuni

Wasaidizi wa Maofisa Watatu wa ECD
 Katibu Msaidizi:Dr. Tom Arunga Ogal
 Mhazini Msaidizi:  Michael Caballero
Mhazini Msaidizi: Yohannes Olana


WAKURUGENZI WA IDARA

1 Mawasiliano -Prince Bahati
2 Elimu -Dr.Andrew Mutero
3 Afya- Fesaha Tsegaye
4 Huduma za Kichungaji -Mch Mitekaro
5 Uchapishaji-Mch. J. Bizirema
6 Shule Sabato-Mch. Noah Musema
7 Uwakili - William Bagambe
8 Wanawake na Watoto- Debbie Maloba 

 9 Vijana Mch Magulilo Mwakalonge
10 Uinjilisti -Mch Joel Okindo 


Viongozi wa Unioni Mbalimbali zilizopo katika Divisheni ya Afrika Mashariki na Kati katika kanisa la Waadventista Wa Sabato waliochaguliwa kwenye kikao kilichofanyika Nairobi nchini Kenya hivi karibuni

UNION MISSION YA BURUNDI:
Mwenyekiti Mch.Joseph Ndikubwayo
Katibu Mch. Paul Erakose 

Mhazini  Philip Javaid

UNION MISSION YA CONGO MASHARIKI:
 Mwenyekiti Mch. Muhune
  Katibu Mch. Tekwa
  Mhazini Elder Jean


UNION MISSION YA ETHIOPIA.
Mwenyekiti Mch. T. Bulti
Katibu Mch Lukas A
Mhazini A. Alemu


UNION MISSION YA KASKAZINI MASHARIKI MWA CONGO
Mwenyekiti  Dr. Mwangachuchu
Katibu Mch. S. Ndangamyambi
Mhazini Elder E. Kerosi


UNION MISSION YA RWANDA
Mwenyekiti  Mch. Hezron Byilingiro
Katibu Mch. Issachar Ntakirutimana
Mhazini Joseph Sebahire


UNION MISSION YA KUSINI MWA TANZANIA
Mwenyekiti Mch. Mark Malekana
Katibu Mch. Robson Nkoko
Mhazini   Jack Manongi


UNION MISSION YA UGANDA
Mwenyekiti Mch. Daniel Matte
Katibu Mch. Israel Kafeero
Mhazini  Frank Kiggundu


UNION MISSION YA MAGHARIBI MWA  CONGO
  Mwenyekiti Mch. Ambrose Fumakwa
  Katibu Mch. C.B. Mukinay
  Mhazini S.K. Landu


Viongozi wa Union Mission za Mashariki na Magharibi mwa Kenya bado hawapo katika orodha hiyo blog hii itakupatia taarifa hiyo.
Sikiliza taarifa ya Mkurungezi wa Mawasiliano wa Union ya Kusini mwa Tanzania Mch Stephen Letta toka Nairobi


1 comment

kisula textile said...

Mbona baadhi ya union hazipo? Kama NTU bado ikiwa ni vyema tujuze

Mtazamo News . Powered by Blogger.