MTANGAZAJI

HAWA NDIO MAOFISA WATATU WA KONFERENSI YA KASKAZINI MASHARIKI MWA TANZANIA YA KANISA LA WAADVENTISTA WA SABATO

 

Maofisa watatu wapya wa Konferensi ya Kaskazini Mashariki wa Tanzania ya Kanisa la Waadventista Wa Sabato kutoka kulia ni Katibu-Mch Mussa Nzumbi,Mwenyekiti Mch Elias Ijiko na Mhazini Ndugu Emanueli Tuarira
Kushoto ni Ndugu  Emmanuel Tuarira - Mhazini NETC akiwa na Ndugu Dickson Matiko - Mhazini NTUC

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.