MTANGAZAJI

ARUSHA:HATIMAYE NETC YAPATA VIONGOZI WATAKAOIONGOZA KATIKA KIPINDI CHA MIAKA MITANOViongozi wa Konferensi ya Kaskazini Mashariki mwa Tanzania waliochaguliwa kuongoza konferensi hiyo kwa kipindi cha miaka mitano ijayo :
Mwenyekiti – Mch. Elias Ijiko
Katibu Mkuu – Mch. Mussa Nzumbi
Mhazini –  Emmanuel Tuarira
Katibu wa Wachungaji/ Kaya na Familia/ Utume - Mch.Alphonce Mayo
Mkurugenzi wa Huduma Binafsi/ SS/ AMR – Mch Aston Mmamba
Mkurugenzi wa Uwakili na Maendeleo/ Majengo/ Amana – Mch Godson William
Mkurugenzi wa Mawasiliano – Mch. Igin Soka
Mkurugenzi wa Vijana/ Muziki – Mch John Kimbute
Mkurugenzi wa Chaplensia – Mch. Jacob Ngusa
Mkurugenzi wa Wanawake / Watoto – Mama Salome Ngusa
Mkurugenzi wa Uchapishaji – Mch. Joseph Lusega
Mkurugenzi wa Elimu – Mch Leopold Mao
Mkurugenzi wa Afya na Kiasi – Mch Amos Kihedu

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.