Makambi ya Mtaa mpya wa Kibada katika Kanisa la Waadventista Wa Sabato huko Kigamboni jijini Dar es salaam, yamehitishwa hivi karibuni.
Kwaya ya Nyegezi toka Mwanza ndiyo ilikuwa kwaya rasmi ikihudumu, pamoja na Mchungaji Musa Mika toka Ufunuo Publishing House ya mjini Morogoro.
Post a Comment