PICHA:UZINDUZI WA UMOJA WA WANATAALUMA VIJANA WAADVENTISTA (AAYP)TANZANIA ULIVYOKUWA JANUARI 31,2015
Viongozi wa Kanisa la Waadventista Wa Sabato waliokuwepo kwenye uzinduzi wa AAYP Tanzania |
Wanataaluma Vijana Waadventista Wakisoma ahadi |
Kiongozi wa Kanisa la Waadventista Wa Sabato katika kanda ya Afrika Mashariki na Kati Dr Brasious Ruguli akizindua AAYP |
Acacia Singers wakiimba |
Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Kanda ya Afrika Mashariki na Kati Mch Steven Bina |
Mwenyekiti wa Unioni ya Kusini mwa Tanzania ya Kanisa la Waadventista Wa Sabato Mch Magulilo Mwakalonge akitoa utambulisho |
Mwenyekiti wa Unioni Konferensi ya Kaskazini mwa Tanzania Dr Godwin Lekundayo akitoa maelezo |
Born To Praise wakiimba |
Vocappella walikuwepo pia |
The Brother nao waliimba vyema |
Post a Comment