|
Mkurugeni wa MSTV, Matucha Mazala (Wa Pili toka kushoto) baada ya kukabidhiwa leseni |
|
Mkurugenzi wa TCRA Prof John Nkoma akizungumza na Mkurugenzi wa MSTV Matucha Mazala |
Hatimaye Morning Star Televisheni-MSTV ya Kanisa la Waadventista Wa Sabato
imekabidhiwa leseni ya kurusha matangazo leo Januari 30,2015.Hafla fupi ya makabidhiano ya leseni ilifanyika Makau makuu ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania - TCRA ambapo Mkurugenzi Mkuu wa TCRA Prof John Nkoma alimkabidhi Mwenyikiti wa
Konfensi ya Nyanda za juu mbele ya Mkurugenzi wa MSTV. Mungu awabariki
wote.
Post a Comment