MTANGAZAJI

MWIMBAJI WA ACACIA SINGERS AOLEWA NA MWIMBAJI WA THE HEAVENLY GATE SINGERS

Elina Rubakula na Daniel Simeon katika pozi baada ya kufunga pingu za maisha





Maharusi wakiimba na waimbaji wengine wa Acacia Singers
 

 

Hivi karibuni mwimbaji wa sauti ya kwanza wa kundi la uimbaji wa nyimbo za Injili la Acacia Singers la jijini Dar es salaam Elina Rubakula alifunga pingu za maisha na Daniel Simeon ambaye pia ni mwimbaji wa kundi la The Heavenly Gate Singers,ndoa ya wawili hao ilifungwa katika kanisa la Waadventista Wa Sabato Mwenge jijini Dar es salaam ambapo wageni na marafiki wakiwemo waimbaji wa Acacia Singers walihudhuria na kushuhudia mwimbaji huyo na mumewe wakiimba  kwa kuimba pamoja na kundi hilo,kanisani mwenge na ukumbini wakati wa sherehe ya wawili hao.

1 comment

Anonymous said...

Mungu na awabariki katika maisha yao hayo mapya

Mtazamo News . Powered by Blogger.